KWA MTEJA YEYOTE MWENYE MALALAMIKO YA KUKATWA KWA MAKOSA NA BODI YA MIKOPO UNAOMBWA KUFIKA NA VIAMBATANISHO VIFUATAVYO ILI KUSIMAMISHA MAKATO NA KUREJESHEWA PESA.
1. NAKALA YA CHETI CHA KIDATO CHA NNE (FORM IV).
2. VYETI VYOTE VYA TAALUMA (YAANI CERTIFICATES,DIPLOMA/DEGREE).
3. HATI YA MSHAHARA (SALARY SLIP).
4. KITAMBULISHO CHA KAZI.
5. KADI YA BENKI.
6.BARUA YA MALALAMIKO (YAANI KUSIMAMISHIWA MAKATO NA KUREJESHEWA FEDHA).
7. NAMBA ZA SIMU ZINAZOPATIKANA ZA MLALAMIKAJI.
8 .KWA AMBAO HAWAJAFIKA KIDATO CHA NNE ( YAANI WAMEISHIA DARASA LA SABA),AMBATANISHA BARUA KUTOKA KWA MWAJIRI WAKO YA KUTHIBITISHA KUWA ELIMU YAKO NI YA DARASA LA SABA.
MAOMBI YAELEKEZWE KWENYE ANUANI IFUATAYO:
MKURUGENZI MTENDAJI,
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU,
S.L.P 76068,
DAR –ES- SALAAM.
KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA:
0659-748536
KWA WATEJA WALIOPO MBALI NA DAR ES SALAAM WANAWEZA KUTUMA NAKALA ZA VIAMBATANISHO TAJWA KWENYE BARUA PEPE IFUATAYO.
repayment@heslb.go.tz
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa