TANGAZO
19/05/2018
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE ANAPENDA KUWAALIKA WANANCHI WOTE WA KISARAWE KUHUDHURIA KWENYE HAFLA YA UTIAJI SAINI YA ULAZAJI WA BOMBA LA MAJI KUTOKA KIBAMBA KUJA KISARAWE.ZOEZI HILI LITAHUDHURIWA NA WAZIRI WA MAJI MHE.Eng ISACK KAMWELWE NA WAZIRI OR-TMSM MHE.SELEMANI JAFO.TUKIO HILI LITAFANYIKA SIKU YA JUMATATU TAREHE 21/05/2018 ENEO LA KITUO CHA MABASI KISARAWE MJINI SAA 4:00 ASUBUHI WOTE MNAKARIBISHWA
LIMETOLEWA NA KITENGO CHA TEHAMA NA UHUSIANO WILAYA KISARAWE.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa