Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe anapenda kuwatangazia wananchi wa Tanzania wenye sifa waombe kazi zifuatazo:
Bonyeza hapo chini kupata sifa za mwombaji na majukumu ya kila nafasi.
Tangazo la kazi Kisarawe DC 2017.pdf
Mwisho wa kuleta maombi ni tarehe 19/09/2017 saa 9:30 mchana.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa