Kuna nafasi za kazi za kuhamia halmashauri ya Kibiti,Chalinze ,Mafia na Rufiji. Uhamisho huu utajigharamia mwenyewe. Kwa maelezo na nafasi zilizopo katika kila Halmashauri soma kiambatanisho kwa kubofya hapo chini.
NAFASI YA KUHAMIA HALMASHAURI YA CHALINZE, KIBITI MAFIA NA RUFIJI.pdf
Nafasi zilizopo Bofya hapa Jedwali la nafasi.pdf
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa