Mkuu wa mkoa Eng Everist W Ndikilo atatembelea Wilaya ya Kisarawe tarehe 04/05/2017. Katika ziara yake atakagua shughuli za kilimo.