Tamasha la Wazaramo litafanyika tarehe 23/09/2017 katika viwanja vya Chanzige Kisarawe Wasanii mbali mbali watakuwepo. Wadau wa maendeleo,wananchi na wazawa mnakaribishwa.
Bonyeza hapa chini kusoma Tangazo.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa