HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WANAODAI FIDIA KUWA,HALMASHAURI IMEPANGA KUENDELEA KULIPA FIDIA KWA AWAMU SITA KUANZIA MWEZI NOVEMBA 2017 HADI MWEZI APRIL 2018.
ORODHA YA WANANCHI WANAODAI FIDIA INAPATIKANA KWENYE KIAMBATANISHI HAPA CHINI.
BONYEZA HAPA KUONA ORODHA YA MAJINA
TAFADHALI UKIONA TANGAZO HILI NA JINA LA MTU UNAYEMFAHAMU MJULISHE .
IMETOLEWA NA
MUSSA L GAMA
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
KISARAWE
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa