Friday 2nd, June 2023
@Kisarawe
Mwenge wa Maalum wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya ya Kisarawe siku ya tarehe13-08-2021.
Mwenge wa Maalum wa Uhuru utapokelewa kutoka Wilaya ya kibaha kwenye viwanja vya kiluvya kisha kukimbizwa Wilayani Kisarawe ambapo mkesha wa Mwenge utafanyika chole tayari kwa kukabidhiwa Wilaya ya Rufiji.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa