Mhe.Mwenyekiti wa halimashauri akiwauliza wageni kutoka Tanroad kuhusu barabara zetu.Baraza la madiwani limefanyika siku ya tarehe 9/04/2017 huku mada mbalimbali zikizungumzwa. Kulikuwa na Ugeni Toka ofisi za Tanroads. Wageni walijibu maswali mengi toka kwa waheshimiwa madiwani na kueleza hatua mbalimbali za jinsi wanavyofanyakazi.
Bonyeza hapa kupata picha za matukio.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa