CMT KISARAWE WAKIPATA MAFUNZO YA MFUMO WA UKAGUZI.
Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wapatiwa Mafunzo ya mfumo wa ukaguzi.Mafunzo haya ni muhimu kwa ajili ya kuhakikisha kazi ya ukaguzi inafanyika kwa wepesi ,makini na kwa wakati.
![]() |
![]() |
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa