• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

DC NYANGASA AONGOZA KIKAO CHA DCC KISARAWE AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA UFANISI ZAIDI KATIKA MIRADI

Posted on: February 12th, 2024

*DC NYANGASA AONGOZA KIKAO CHA DCC KISARAWE AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA UFANISI ZAIDI KATIKA MIRADI*


KISARAWE PWANI


Baraza la Ushauri la wilaya ya Kisarawe (DCC) limepokea taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Taarifa hiyo imewasilishwa na Afisa Mipango wa Halmashauri ya Ndg  DEOGRATIUS LUKOMANYA kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe Ndg BEATRICE DOMINIC.



Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe  12.02.2024 pamoja na kuwaliika tasisi mbalimbali TARURA, RUWASA,TRA,TANESCO na DAWASA, taasisi zote hizo zimepokea na kushauri utekelezaji wa Majukumu mbalimbali kwa mujibu wa mipango kazi  na kujadiliwa na wajumbe wa kikao hicho kwa kuzingatia ufanisi na changamoto zinazoyakabili Halmashauri.


Katika kikao hicho kinachofanyika kila mwaka mara mbili kwa mujibu wa Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 pamoja na marekebisho yake ni kikao kinachofanyika kwa misingi ya kupokea taarifa za utekelezaji na kutoa ushauri kwa utendaji na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.



Mkuu wa wilaya ya  Kisarawe MHE FATMA NYANGASA akiongoza Kikao hicho baada ya taarifa za utekelezaji kwa  Halmashauri, MHE DC aliitaka Halmashauri kuwa na miradi ya kimkakati ambayo itaziwezesha Halmashauri kuzalisha fedha kutokana na uwekezaji unaotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri Hasa Kupitia Katika Kilimo Cha ufuta,korosho,nk,



Kwa upande wa Taasisi za umma zinazojitegemea alizitaka kutoa huduma kwa wananchi kwa weledi kwa kuhakikisha miundombinu ya barabara,Maji na Umeme inawafikia wananchi pasipo shaka na Kuhakikisha wanatatua kero kwa muda mara zinapojitokeza bila kuchelewa.



*“Halmashauri ni wataalam na Madiwani niwatake mfanye kazi kama timu ili kuwaletea Maendeleo wananchi na kila mmoja asimame kwenye nafasi yake kwa kutekeleza majukumu yake,tubadilike ndugu zangu*.” Mhe FATMA NYANGASA Mkuu wa wilaya alisema,



Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya Kisarawe  Komred KHALFANI SIKA aliwataka washiriki wa kikao hicho kwa maana ya wataalam wa Mamlaka wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe na Mashirika yanayojitegemea kuwa na moyo wa kizalendo katika kuwatumikia wanakisarawe na watanzania kwa ujumla ili kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kama kilivyowaahidi watanzania hasa Katika miradi ya Elimu Katika kupendekeza na kuteua vipaumbele vya wapi mradi uende,


*Utakuta sio Hapa na Wala sio nyeie Kuna sehemu mradi unaenda sehemu ambayo sio yenye uhitaji basi kuzingatieni hili Wataalamu pahala pa shule iende shule na pahala penye uhitaji basi tupeleke huduma*"  Alisisitiza KOMRED KHALFANI SIKA


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Ndg BEATRICE DOMINIC akichangia katika baraza hilo aliahidi kuyafanyia kazi maoni mbalimbali yaliyotolewa na wajumbe kwa misingi ya kuboresha utoaji huduma kwa wananchi sanjari na kuibua miradi ya kimkakati ambayo itakuwa na tija kwa Halmashauri na kuwa endelevu.

*"Ndugu wajumbe nichukue nafasi hii kuwaahidi yote mlioyapendekeza Yale ya kitalamu tutaendelea kuyafanyia kazi na kuyaboresha Zaidi Katika utekelezaji kwa Vitendo*" alisisitiza Ndg BEATRICE DOMINIC

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa