Halmashauri ya Wilaya Kisarawe imesaini mikataba yenye thamani ya shilingi 664,234,592.00 ikiwa ni kwa ajili ya Usafi wa mazingira,Ulinzi na Usambazaji wa maji kwenye Kijiji cha Boga na Mengwa.
Mikataba hii yote imetiwa saini leo tarehe 11,Octoba 2018 kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Kisarawe mbele yamwenyekiti wa Halmashuri Mhe: Hamisi Dikupatile.
Aidha mradi wa huu wa maji unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Aprili ambapo zaidi ya watu 3000 wanategemewa kufaidikana mradi huu.
Kwa habari picha bonyeza hapa
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa