• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

JAFO ATAKA KISARAWESHA KUFUNGUA FURSA ZA ELIMU,AFYA, MIUMDOMBINU,MADINI KWA HARAKA ZAIDI

Posted on: September 16th, 2023

JAFO ATAKA KISARAWESHA KUFUNGUA FURSA ZA ELIMU,AFYA, MIUMDOMBINU,MADINI KWA HARAKA ZAIDI

#Asisitiza Jamii Kunufaika Zaidi na Awamu Ya Sita.

#Atoa Neno Kwa RC, DC,Kuendeleza Fursa za Uwekezaji.

#Mama Vulu Anogesha asema Kwa Mambo haya CCM ushindi Muhimu 2024.

NaMwandishi wetu

Katika kuhakisha Jamii ya Kisarawe inatumia Fursa ilizo nazo Katika uchumi na maendeleo Kwa Jamii inafanikiwa 16.09.2023 historia imeandikwa  Kongamano la kuhamasisha utumiaji wa Fursaza  Maendeleo Kisarawe Katika Kata ya Menerongo,Akizungumza Wakati wa Kongamano la kuhamasisha utumiaji wa Fursa za Maendeleo Kisarawe Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Dkt Selemani Saidi Jafo amepongeza Kwa Kufanyika hilo huku akitoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutangaza Fursa walizo nazo Kwa Jamii,

"Ndugu Wakuu wa Mikoa na wilaya Wote Tanzania Natoa wito kutangaza Fursa mlizo nazo Katika maeneo yenu ili Jamii inufaike na kuzitambua Kwa lengo la kupata mafanikio na maendeleo" 

alisisitiza Mhe Dkt Jafo,"Ndugu Kwa sasa Kisarawe Kwa Ujumla awamu hii ya Sita ya Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan tunaendelea Kunufaika Zaidi Katika Elimu Msingi na Sekondari Kwa Kupata Shule Mpya Nne za kisasa Kabisa  Nazo ni Kisangire,Kitanga, Dkt Jafo,na Jokate zote zikiwa na Ukamilifu wa Miumdombinu ya kisasa Kwa Upande wa Sekondari na Msingi Mpaka sasa Tumepata Shule ya Mgoge,Nk" alifafanua Mhe Dkt Jafo

Nae Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya Kisarawe Mhe Fatma  Nyangasa alifafanua Kuwa wao Kama Kisarawe waliamua kuja na Kongamano la KISARAWESHA Kwa  lengo la kuhamasisha Utumiaji wa Fursa za Uwekezaji Katika Uwekezaji wa Kilimo,Madini, Viwanja na Utalii  Kwa kutumia Fursa zilizopo Kisarawe,"Ndugu Mhe Dkt Jafo sisi Kisarawe tumekuja na Kisarawesha Kwa lengo la Kuonesha na Kuhamasisha Utumiaji wa Fursa zilizopo Kisarawe ili kuleta mafanikio na faida Kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali na Viongozi wa Hapa kupata Faida ya Fursa zilizopo" alifafanua Mhe Nyangasa

Aidha Mwenyekiti wa Jumuia ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Pwani Mhe Zainabu Vulu alisisitiza Kuwa Kitendo Cha Kisarawe kutekeleza Kwa vitendo Ilani ya Chama Katika Elimu,afya, Miumdombinu Nk Kwa mafanikio Makubwa basi Ni dhahiri 2024 uchaguzi wa Serikali za Mitaa ushindi Muhimu,"Ndugu Mgeni Rasmi na Mgeni Maluum wa Hadhara hii Kwa haya yaliofafanuliwa hapa juu ya Kisarawe tulikotoka,Tulipo na Tunakokwenda basi ni Dhahiri ushindi Muhimu Insha Allah" alisisitiza Mhe Vulu.Kongamano Hilo la siku moja limefanyika Katika Kata ya Maneromango Kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo waliopo Kisarawe Pamoja na Wananchi mbalimbali.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa