JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI.
Kisarawe,Pwani.
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Kisarawe Ndg.Beatrice Rest Dominic Amefungua mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la wapiga kura awamu ya pili, zoezi lililoambatana na Kuwaapisha washiriki wote watakaotekeleza majukumu hayo.
Baada ya mafunzo ya siku moja maafisa waandikishaji na waendesha BVR wataanza kufanya kazi siku ya tarehe 16/05/2025 hadi tarehe 22/05/2025 katika Wilaya ya kisarawe. Hivyo Ndug. Beatrica anawajulisha na kuwaomba wanachichi kufika kwenye vituo walivyojiandikisha na kuhakiki taarifa zao. Ikiwa kuna marekebisho basi wananchi wafike kwenye kata zao ili kufanya marekebisho.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 14/05/2025 Katika Wilaya ya Kisarawe.
Kisarawe Distric Council | UBORESHAJI DAFTARI LA MPIGA KURA . | Instagram
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa