Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wajumuika Kwa wingi katika kuanzisha jukwaa la wanawake.
Viongozi mbalimbali walikuwepo katika uzinduzi huo wakiongozwa na Ndg. Mwampamba-DAS,Ndg Mussa Gama-DED,madiwani,wadau kutoka asasi mbalimbali.
Viongozi wa jukwaa waliochaguliwa katika jukwaa hili Kushika uongozi ni
1.Veronica Kilango-Mwenyekiti
2.Sijapata Danga-Katibu
3.Gift Baraka-Mweka hazina.
4.Zaina Mwingira-Mjumbe
5.Tiba chande-Mjumbe
Jukwaa hili litakuwa linakutana Mara mbili Kwa mwaka.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa