Wiki ya Elimu katika Wilaya ya Kisarawe. Matukio mbalimbali ya kielimu yameonyweshwa. Mgeni rasmi katika siku hii muhimu Mhe. Abel Mudo Diwani wa Kata ya Kisarawe alizungumza kwa kuwapongeza walimu na wanafunzi kwa jinsi wanavyofanya kazi. Pia alisisitiza watumishi kukaa kwenye maeneo yao ya kazi na wazazi kuhakikisha watoto wao wanaenda shule.Juma hili limeadhimishwa nahapa kusiki kutoa zawadi mbali mbali. Pata matukio mengine kwa kubonyeza hapo chini
Bonyeza hapa kupata matukio kwa njia ya picha
Bonyeza hapa kupata salamu za Afisa elimu Sekondari
Bonyeza hapa kusikiliza risala kwa Mgeni Rasmi
Bonyeza hapa kusikia Hotuba ya Mgeni rasmi akipokea maandamano.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa