Kamati ya Fedha,Utawala na Mipango na baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe imefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na Chalinze siku ya tarehe 12/09/2017 na 13/09/2017 kwa lengo la kujenga uwezo juu ya ukusanyaji wa mapato na kujua changamoto zinazowakabili katika ukusadisanyaji wa mapato.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa