• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Kamati Ya Fedha Kisarawe Yatembelea Miradi

Posted on: August 10th, 2018

Kamati Ya Fedha Kisarawe Yatembelea Miradi

Kamati ya fedha Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mheshimiwa Hamisi Dikupatile imetembelea miradi mbalimbali inayoendelea na ujenzi katika Wilaya ya Kisarawe.

Katika ziara hiyo imejumuisha wajumbe wa kamati hiyo ambao ni baadhi ya waheshimiwa madiwani, katibu wa kamati ambaye ni kaimu mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ndugu Patric Allute pamoja na Wataalamu  wametembelea miradi ya ujenzi wa Zahanati kijiji cha Kibwemwenda kata ya Vihingo,Kituo cha Afya Mzenga na ujenzi wa madarasa shule ya Sekondari ya Gwata.

Awali wakikagua ujenzi wa Zahanati ya kibwemwenda kamati ya fedha ilishuhudia maendeleo ya ujenzi huo ambao mpaka sasa wameshakamilisha kazi ya kupaua na  wanatarajia kumaliza kazi iliyobaki hivi karibuni.

Aidha mwenyekiti wa Halmashauri amewapongeza kwa juhudi wanazoendelea nazo na kuwaambia hivi punde pesa ya umaliziaji wa ujenzi itatolewa na anatarajia ujenzi utakamilika mapema ili zahanati iweze kutoa huduma kwa wananchi.

Katika kituo cha Afya cha Mzenga kamati ya fedha ilikutana na kamati ya ujenzi ya zahanati hiyo na ilishuhudia maendeleo ya ujenzi huo ambao upo katika hatua za mwisho za umaliziaji ili uweze kutumika na kamati imejiridhisha kwa hatua iliyofikiwa mpaka sasa.

Pia kamati ya fedha imetembelea shule ya sekondari ya Gwata kukagua mradi wa ujenzi wa madarasa pamoja na shughuli nyinginezo zinazofanyika shuleni hapo pamoja na kukutana na uongozi wa shule na kutoa ushauri namna ya kubboresha miundombinu wezeshi ya kujifunza na kujifunzia.

Vilevile kamati ilitembelea machimbo ya kokoto yaliyopo kijiji cha kibwemwenda kata ya Vihingo ambapo kokoto hizo zinatumika katika ujenzi wa mradi wa reli ya Treni ya KIsasa (SGR) na kuona namna ya shughuli za uchimbaji mawe unavyoendelea.

Kamati ya Fedha inaundwa na wajumbe ambao ni waheshimiwa madiwani kutoka kata za Maneromango,Msimbu,Msanga,Marui,Mzenga na Kiluvya ambaoni Mheshimiwa Hamisi Abdallah,Mhe.Amina Lilomo,Mhe. Juma Kizwezwe,Mhe.Salehe Mfaume,Mhe.Mohamed Lubondo na Mhe. Aidan Kitare pamoja na Diwani wa viti maalum Mhe, Tatu Kano na Mbunge wa jimbo la Kisarawe Mheshimiwa Selemani Jafo.

Aidha wataalam wa Halmashauri walioongozana na kamati ya Fedha ni Mkuu wa idara ya ujenzi Mhandisi Mahungo,Afisa elimu Sekondari Ndugu Generosa Nyoni,Kaimu Afisa elimu Msingi Ndugu  Madina Mussa, Kaimu Afisa Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji Ndugu Deus Mbalamwezi,Kaimu Mkaguzi wa Ndani Ndugu Sadikiel Mnzava, Afisa Habari Ndugu David Kambanyuma na Mwandishi wa vikao Ndugu Emmanuel Mgonja. 

  

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa