• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

KIBAHA 026 MKOMBOZI WA WAKULIMA KISARAWE

Posted on: May 25th, 2017

Hatimaye kile kilio cha muda mrefu cha wakulima wa zao la Mihogo cha kukosa mavuno stahiki kutokana na kutumia mbegu zisizo na ubora kimekwisha baada ya kupatikana kwa mbegu bora ya mhogo isiyoshambuliwa na magonjwa kwa zaidi ya asilimia 90.

MIHOGO INYOTOKANA NA MBEGU BORA YA KIBAHA  026

KIBAHA  026 mbegu ya Mhogo iliyofanyiwa utafiti wa kina na kituo cha utafiti wa mazao ya  Mizizi Kibaha  imethibitika kuwa ni mkombozi baada ya wakulima wa zao hilo katika wilaya ya Kisarawe kukiri kunufaika baada ya kuitumia mbegu hii.

‘kwa muda mrefu nimetumia mbegu za mihogo aina nyingi lakini nilikuwa Napata mavuno hafifu au kukosa kabisa ‘ amesema Bi Zainabu Mohamed ambaye ni mkulima wa mihogo kutoka kijiji cha Mhaga kilichopo kata ya Kibuta tarafa ya maneromango wilaya ya kisarawe.

MKULIMA WA MIHOGO BI ZAINABU AKIFAFANUA KWA KINA FAIDA ALIYOPATA BAADA YA KUTUMIA MBEGU YA MHOGO YA KIBAHA  026.

AIDHA mkulima  kwa jina maarufu la Bongeambaye pia  ni mkulima wa mihogo amesema ni kweli mbegu hii mpya imefanikiwa kuwahamasisha wakulima kulima kwa wingi zao hili kwani linatoa mazao mengi ambayo yanaleta faida kubwa kwa mkulima ukilinganisha na mbegu nyingine.pia ameongeza kuwa kutoshambuliwa na magonjwa ya michirizi ya kikahawia na  Batobato kumewawezesha kujiamini kulima eneo kubwa zaidi  kwani wana uhakika wa kuvuna  alisema ndugu Bonge ambaye ana miliki shamba la mihogo lenye ukubwa wa ekari ishirini

MKULIMA WA MIHOGO NDUGU BONGE AKIELEZEA FAIDA  ZA KUTUMIA MBEGU YA KIBAHA  026.

Afisa kilimo wa kata ya Kibuta ndugu Daniel  Shangali akielezea kuhusu ujio wa mbegu mpya ya Kibaha one 026 amesema kipindi cha nyuma yapata miaka mitatu iliyopita zao la mihogo ilishambuliwa na ugonnjwa uliojulikana kama michirizi ya kikahawia Uliosababisha hasara kubwa kwa wananchi ingawa wenyeji walikuwa wakiuita ugonjwa wa MAKIRIKIRI  kitaalamu unaitwa CASSAVA BROWN  STREAK DISEASE (CBSD )  ugonjwa abao ulishambuli zao hili kwa kiasi kiasi cha kwamba wakulima walikuwa wamekata tamaa.

Aidha AFISA KILIMO aliongeza kuwa baada ya kujitokeza tatizo ili walitoa taarifa kwa uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe na Hatimaye uongozi wa wilaya ulitafuta wataalamu kutoka kituo cha utafiti wa mazao ya mizizi kutoka kibaha na ndipo walipokuja na suluhisho la kuwapatia mbegu ya KIBAHA ONE 026.

Kwa sasa  serikali ya kijiji cha Mhaga kimefanikiwa kuwa na shamba la mbegu ya Mihogo ya Kibaha one 026 lenye ukubwa wa zaidi ya ekari nane inayowawezesh wakulima wa ndani na nje ya wilaya ya kisarawe kupata mbegu hiyo bora kwa urahisi.Awali wakulima wengi walikuwa wakitumia mbegu aina tofauti tofauti kama vile Rasta, Enyimba na nyinginezo zilizokuwa zinzwaletea mazao hafifu na kutishia kuacha kulima zao la mihogo kutokana na changamoto za magonywa na mavuno

AFISA KILIMO WA KATA YA KIBUTA NDU GU DANIEL SHANGALI AKIONYESHA MBEGU YA MHOGO  YA KIBAHA  026


MKULIMA WA MIHOGO  AKIONYESHA KIASI CHA MIHOGO INAYOPATIKANA   KWENYE SHINA MOJA LA MBEGU AINA YA KIBAHA  026 NA NYUMA YAKE NI SHAMBA LAMBEGU YA MIHOGO.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa