KISARAWE IJITANGAZE ZAIDI KATIKA MADINI KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA PWANI-ULEGA
AFURAHISHWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA YA MADINI,MISITU KISARAWE
NA
MWANDISHI WETU
Wakati Dunia inapambana kukaa Sawa katika masuala ya uchumi na mandeleo katika jamii zao kisarawe wametakiwa kuinua uchumi Kwa kutegemea zaidi madini yanayopatikana Kwa Wingi aina ya Sandy, Limestone,na Kaolin,
Akizungumza Wakati wa kukagua Banda la kisarawe katika maonesho ya viwanda biashara na Uwekezaji siku ya Tatu ya Maonesho Pwani alisema Kuwa madini Kwa kisarawe ni fursa nyengine mbadala ya mkaa ,Kuni na kilimo,
"uchumi wa Sasa kisarawe Kwa kiwango kikubwa ni Madini hivyo fursa Hii itumike vyema na sio Ile ya zama za Miaka ya nyuma alishauri Ulega"
Katika Kufikia maendeleo yakinifu Kwa jamii ni muhimu Kutumia madini yetu Kwa Ujenzi
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa