• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

KISARAWE IMEFIKIWA NA MAMLAKA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI DC NYANGASA AFURAHISHWA NA UJIO WAO GCLA

Posted on: March 4th, 2024

KISARAWE IMEFIKIWA NA MAMLAKA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI DC NYANGASA AFURAHISHWA NA UJIO WAO GCLA.



Kisarawe Pwani.


Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaendelea na kutoa mafunzo kwa Siku tatu juu ya usimamizi na udhibiti salama wa utekelezaji wa Sheria za mamlaka maabara ya mkemia Mkuu 04/03.2024.


Akizungumza wakati wa Kufungua Mafunzo kwa wakuu wa Idara, vitengo na kamati ya Ulinzi na usalama Mkuu wa wilaya kisarawe  MHE FATMA NYANGASA amesema utoaji wa Mafunzo na Elimu utasaidia  kuwakinga wanatumishi  na athari mbalimbali zinazoweza kijitokeza wakati wakifanya majukumu Yao kazini Kwa vitendo wawapo.

"Tumepata fursa ya kuwapa elimu watumishi wa Kisarawe mbalimbali kutoka Katika idara na  vitengo juu ya madhara yanayopatikana na matumizi mabaya ya kemikali na jinsi ambavyo wanaweza kujikinga, pia tumetoa baadhi ya vifaa Kinga Ili watakapokuwa wakifanya mafunzo kwa vitendo waweze kujikinga na athari mbalimbali zinazotokana na matumizi yasiyo sahihi ya kemikali" alisema Ndg SABANITHO MTEGA.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya  Kisarawe MHE FATMA NYANGASA  amesema kuwa Mafunzo haya ya Siku mbili yatasaidia   vitasaidia watumishi na wadau mbalimbali,


"Kwetu sisi Mafunzo haya ni msaada mkubwa Sana yatasaidia sana Kwa kuwa tunafahamu ofisi ya mkemia Ina Mambo mengi na  Kuna kemikali ambazo ni hatari kwa mwili wa binadamu, hivyo watumishi  wanaofundishwa watakua salama" alisema MHE FATMA NYANGASA


"Tunaishukuru Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa kutuletea Mafunzo haya  kwani ni msaada mkubwa kwetu tutaelewa juu ya elimu  kemikali hatarishi tukiwa maabara" walisema watumishi watumishi

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa