Siku ya UKIMWI DUNIANI Yaliofanyika Katika Shule ya Sekondari ya Minaki kwa ngazi ya Wilaya Kisarawe leo Yaliongonzwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe MHE MOHAMMED RUBONDO ambapo alitoa Ujumbe kwa jamii kuendelea kujilinda dhidi ya Maambukizi ya UKIMWI pamoja na Kuondokana na Unyanyapaa.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa