Zoezi la Usafi wa Mazingira pamoja na Matembezi ya Kuangalia Wagonjwa Hospital ya Wilaya Kisarawe Yaliongonzwa na Mkuu wa Wilaya Kisarawe MHE FATMA NYANGASA Leo ikiwa ni Shamrashamra za Siku ya Uhuru wa Tanganyika.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa