KISARAWE YATANGAZA MAENDELEO KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
KIBAHA PWANI
Halmashauri ya Wilaya Kisarawe kupitia Afisa Mipango Deogratius Lukomanya amewasilisha Mipango na hatua za maendeleo ya Wilaya kwa Mkurugenzi wa idara ya Habari na Msemaji Mkuu Serikali Bw Mobhare Matinyi,
Matukio mbalimbali ya picha na Video Wakati wa Uwasilisho taarifa kwa wandishi wa Habari katika Mkutano wa wandishi wa Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali,Mkuu wa Mkoa Pwani, Pamoja na Wakurugenzi mbalimbali wa Halmashauri za Mkoa wa Pwani Leo 03.11.2023 Kibaha PWANI kutoka Kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Ndg Deogratius Lukomanya.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa