MAFUNZO YA MFUMO WA PEPMIS NA PIPMIS KISARAWEDC
Leo Tarehe 9/12/2023 Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi na Upimaji utendaji kazi Katika utumishi wa umma yamefanyika katika Ukumbi wa Minaki uliopo Shule ya Sekondari Minaki, mafunzo haya muhimu yaliyojumuisha watumishi kutoka Idara na vitengo vyote yamefanyika kwa nadharia na vitendo.
Aidha watumishi wamefurahia mafunzo hayo kwa kuupokea mfumo mpya wa PEPMIS
Mafunzo yameyotolewa na watalaam kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa