Naibu waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo atembelea vijana wa Mgambo wakiwa kwenye mazoezi ya kuupokea mwenge katika wilaya ya kisarawe. Mhe Naibu Waziri amewapongeza sana wanamgambo kwa moyo wao wa kujitolea na kutoa msaada wa Milioni moja ambayo itawasaidia katika kujiweka sawa katika zoezi la kuupokea mwenge. Pia Naibu waziri aliwasisitiza vijana waendelee kuiinda miundo mbinu ya wilaya ya kisarawe wawe walinzi katika zoezi la uwekaji lami katika barabara zao.
Bonyeza hapa kupata matukio kwa njia ya Picha
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa