• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

MKURUGENZI ATEMBELEA MIRADI.

Posted on: November 9th, 2017

MKURUGENZI ATEMBELEA MIRADI

Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya wilaya ya  ndg Mussa  L  Gama ametembelea miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri ya wilaya ya .

Katika ziara hiyo iliyofanyika siku ya jumatano tarehe 08/11/2017  Mkurugenzi mtendaji ametembelea miradi sita yenye thamani ya jumla ya shilingi 1,038,428,000/= ambapo baadhi ya miradi imekamilika na kuanza kutumika na miradi mingine ipo katika hatua mbalimbali za umaliziaji.

Akiwa katika kituo cha afya cha masaki Mkurugenzi mtendaji alikagua ujenzi wa korido unaoungnisha chumba cha upasuaji pamoja na wadi za wagonjwa .katika mradi huo kituo cha afya cha Masaki utakaogharimu kiasi cha shilingi milioni sita laki nne na ishirini na nane elfu (6,428,000/=) kimefikia hatua ya kusimamisha msingi wa korido na hatua inayofuata ni kuweka nguzo na kupaua na mradi utakamilika mwisho wa mwezi huu wa kumi na moja

Katika mradi mwingine uliopo shule ya msingi ya Boga  Mkurugenzi alikagua ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa,ofisi ya walimu pamoja na matundu kumi ya vyoo ambapo mradi umefikia hatua ya kupauliwa na baadae alitembelea miradi kama hii katika shule za msingi za Kitonga Mango na shule ya msingi ya Mitengwe ambapo miradi yote ipo katika  hatua ya upauaji na kupiga bati.

Miradi hii mitatu ya shule ya Msingi Boga,Kitonga Mango na Mitengwe yenye jumla ya madarasa kumi na mbili,ofisi za walimu na matundu thelathini ya vyoo ina thamani ya fedha jumla ya shilingi milioni mia mbili na sabini na tatu elfu (273,000,000/=) Pamoja  na nguvu na jitihada za wananchi.

Vile vile Mkurugezi ameweza kutembelea shule ya sekondari ya Maneromango ambapo utekelezaji wa miradi iliyopo kwa asilimia kubwa imekamilika na imeanza kutumika.Shule ya sekondari ya Maneromango  imefanikiwa kujenga madarasa,Maktaba,Mabweni mawili,na vyoo ambapo vyote vimekamilika na vinatumika na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ni ya mchepuo wa kidato cha tano na sita.Mradi mwingine wa ujenzi wa bwalo la chakula unaendelea.Mradi huu una thamani ya shilingi milioni mia mbili na hamsini na tisa elfu (259,000,000)

Aidha Mkurugenzi ametembelea mradi wa ujenzi unaoendelea katika kituo cha afya cha Maneromango ambapo ujenzi uaendelea kwa kasi ya kuridhisha na ipo katika hatua ya upauaji na mradi utakapomalizika utakuwa wodi ya wazazi,Maabara,chumba cha upasuaji,nyumba ya daktari na jengo la kuhifadhia maiti ambapo thamani yak e ni jumla ya fedha shilingi milioni mia tano(500,000,000/=)

Katika ziara hiyo Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya  aliongozana na Mhandisi wa ujenzi Eng. Ernest Maungo,kaimu Afisa Mipango na Takwimu ndg Ombeni Kasayo na Afisa Habari ndg David Kambanyuma pia  alifanikiwa  kutembelea ghala la kuhifadhia Mazao la AMCOS lililopo Maneromango ambapo shughuli za ukusanyaji wa zao la korosho na mnada  unafanyika kwa sasa.

Katika ziara hiyo Mkurugenzi amesisitiza kufanya kazi kwa bidii na kasi inayoridhisha na kusema kuwa miradi ya Kituo cha afya cha masaki, shule ya Msingi Boga,Kitonga Mango na Mitengwe  anataka akabidhiwe ifikapo mwisho wa mwezi huu wa kumi na moja 2017 HABARI PICHA 

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa