MKUU WA MKOA WA PWANI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA CHAKI KISARAWE
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe:Eng Evarist Ndikilo ameweka jiwe la Msingi kwenye kiwanda cha chaki kilichopo Kitongoji cha Msanga Zalala Kata ya Msimbu kinachoitwa MKONGOTEMA GENERAL SUPPLY COMPONY LTD ambacho kinazalisha chaki zinazofahamika kwa jina la CONTINENTAL White Chalk.
Kiwanda kinamwelekeo wa kutoa manufaa kwa Wakazi wa Msimbu ambapo mpaka sasa wakazi wapatao 39 wameshapata ajira kwenye kiwanda hiki na mmiliki wake ameshangangia kwenye mambo mbalimbali ya kijamii katika Kata ya Msimbu na Wilaya.HABARI PICHABONYEZA HAPA
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa