• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE AMEHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA (MGAMBO)KISARAWE

Posted on: August 8th, 2025

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE AMEHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA (MGAMBO)KISARAWE  

Mafunzo ya jeshi la akiba yamehitimishwa rasmi Leo tarehe 7 agosti 2025 na Mhe Petro magoti  mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hafla iliyofanyika katika  kiwanja Cha bomani huku  yakihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, wazazi na wananchi waliyojitokeza kwenye hafla hiyo.

Akihutubia wahitimu wa mafunzo hayo, Mhe. Magoti aliwapongeza kwa uvumilivu, nidhamu na uzalendo waliouonyesha katika kipindi chote cha mafunzo, akisisitiza kuwa taifa linahitaji vijana wenye moyo wa kujitolea kulinda amani na usalama wa jamii zao.


Aidha wa upande wake, Mratibu wa mafunzo hayo, alieleza kuwa jumla  yavijana154,wamehitimumafunzo hayo ya muda wa miezi mitatu  ambapo walifundishwa masuala ya ukakamavu, sheria ndogo za mtaa, mbinu za ulinzi, pamoja na maadili ya utumishi wa kujitolea.

Wahitimu wamefanya maonesho mafupi  ya kuonesha ukakamavu wao mbele ya mgeni rasmi, huku akiwasihi kuzidi kutumikia kiapo Chao pamoja na kudumisha amani na mshikamano katika jamii.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MBIO ZA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE ZAANZA RASMI KWA VYAMA VYA SIASA KUCHUKUA FOMU ZA INEC

    August 14, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KISARAWE AMEHITIMISHA RASMI MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA (MGAMBO)KISARAWE

    August 08, 2025
  • RAS PWANI AFURAHISHWA NA MAONESHO YA NANENANE BANDA LA KISARAWE AHIDI KUFIKA KUJIONEA KWA VITENDO

    August 07, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE BIBI SABRA CHARLES MWANKENJA AMEFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU YA ARO KATA ASISITIZA UADILIFU NA USAFI

    August 07, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa