LAPF watoa vazi maalumu kwa ajili ya kuwakinga na kuwatambua waendesha Pikipiki katika Wilaya ya Kisarawe.Pia walishauriwa kujiunga na Mfuko huo ili uweze kuwasaidia.