MSIMBU SEC YAPOKEA MSAADA WA VITI,MEZA VITANDA,MAGODORO ,MASHUKA NA FORONYA
Na mwandishi wetu.
Leo tarehe 23-08-2023 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Fatma Nyangasa akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Bi Beatrice Dominic walipokea msaada wa meza,viti,magodoro na mashuka toka kwa wadau wa Elimu.
Msaada uliotolewa ni viti-50,meza-50,vitanda-50,madogoro -100,mashuka -100 na foronya-100 toka Ubarozi wa Uturuki na Benki ya CRDB.
Akipokea msaada huo Mhe. Fatma alitoa pongeza kwa ubalozi wa Uturuki na benki ya CRDB kwa jinsi walivyojitoa kuisaidia shule ya Msimbu.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa