• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

MWANANCHI ATOA EKARI 20 BURE ZA UJENZI WA SHULE

Posted on: October 26th, 2017

MWANANCHI ATOA EKARI 20 BURE ZA UJENZI WA SHULE

Mdau mkubwa wa maendeleo katika sekta ya Elimu Wilayani Kisarawe ndugu Salum Zaga amekabidhi eneo lenye ukubwa wa ekari ishirini (20) kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari  katika kata ya Kazimzumbwi Wilaya ya Kisarawe.

Ndugu Salum  Zaga amekabidhi  ekari hizo mbele ya Diwani wa Kata ya Kazimzumbwi Mheshimiwa Siza Juma  aliyeongozana  na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe akiwemo  Afisa elimu sekondari ndugu  Generosa  Nyoni, Afisa elimu  ndugu Alice Nkwera pamoja na Afisa Habari ndugu David Kambanyuma pamoja na Mratibu elimu na Afisa mtendaji wa Kata ya Kazimzumbwi.

Wakati wa makabidhiano hayo mdau huyo wa maendeleo ya elimu amewaambia Mheshimiwa Diwani na wataalamu wa Halmashauri  wachague eneo linalofaa kwa ajili ya ujenzi wa shule kutoka miongoni mwa ekeri kadhaa anazozimiliki.

‘’Mheshimiwa Diwani Tafadhali chagueni eneo lolote mnaloliona linawafaa kwa ajili ya ujenzi  wa shule na mimi nipo tayari kuwapa eneo hilo ‘’ Amesema ndugu Salum  Zaga.

Eneo ambalo limekabidhiwa  lipo karibu na barabara inayoelekea tarafa ya Mzenga na inakaribiana na barabara ya Reli ya  TAZARA ambayo kwa kiasi ki kubwa inarahisisha upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii ikiwamo usafiri.

Kata ya Kazimzumbwi ni Kata ambayo haina shule ya sekondari ambapo wanafunzi wanalazimika kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kufuata elimu hiyo kwenye shule za sekondari  Kimani  na Chanzige zilizopo Kata ya Kisarawe.

Mdau wa maendeleo Ndugu Salum Zaga kwa muda mrefu amekuwa akichangia maendeleo ya elimu kwa muda mrefu ambapo hivi karibuni wakati wa zoezi la OPERESHENI  ONDOA ZERO  iliyokuwa na lengo la kuwaweka pamoja  wanafunzi wa sekondari  wanaojiandaa kufanya mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari ameweza kuchangia kiasi cha shilingi miliono kumi (10) kwa ajili ya zoezi hilo.

Habari zaidi kwa njia ya picha Bonyeza hapa.pdf

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa