Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mhe. Happyness W. Seneda akiupokea mwenge wa uhuru toka kwa mkuu wa wilaya ya Mkuranga.
Mwenge wa uhuru utakimbizwa wilayani kisarawe kwa siku moja ya tarehe 5/06/2017. Pia mwenge wa uhuru utakagua na kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika wilaya ya kisarawe. Miradi itakayotembelewa ni kama ifutavyo
1. Ujenzi wa Bara bara za kisarawe mjini kwa kiwango cha Lami 2KM.
2.Ujenzi wa Wodi ya Wazazi Zahanati ya Homboza.
3.Mradi wa maji Msanga (Mtimle).
4.Ujenzi wa nyumba za walimu sita kwa moja Kibuta Sekondari.
Bonyeza hapa kupata matukio mbali mbali kwa njia ya picha.
Habari zaidi Bofya hapa MWENGE 2017.ppt hapa
Bofya hapa KWA HERI MWENGE WA UHURU.pptx kupata taarifa ya makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru 2017 Wilayani kibaha Mji.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa