• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Mwenge Wa UHURU 2018 Wakamilisha Ziara Yake Kisarawe Kwa Kishindo

Posted on: July 17th, 2018

Mwenge Wa UHURU 2018 Wakamilisha Ziara Yake Kisarawe Kwa Kishindo

Hatimaye Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 umekamilisha ziara katika Wilaya ya Kisarawe kwa kishindo baada ya kutembelea na kuzindua miradi iliyokidhi vigezo kwa mafanikio.

Katika ziara hiyo iliyoanzia uwaja wa ndege wa Mwalimu Julius kambarage Nyerere ulipowasili  kutoka Wilaya ya Mafia Mkoa wa Pwani mwenge ulipokelewa na Mheshimiwa Happiness Seneda mkuu wa Wilaya ya kisarawe aliyeambatana na kamati ya ulinzi ya Wilaya ya Kisarawe,watumishi wa Halmashuri ya Wilaya na wananchi waliojitokeza 

Baada ya kupokelewa mwenge ulianza ziara yake Wilaya ya kisarawe kwa kutembelea chuo cha maendeleo ya wananchi kilichopo eneo la Sanze  ambapo walishuhudia shughuli mbambali zinazofanyika hapo ikiwemo utekelezaji wa utoaji mafunzo ya ufundi stadi kwa kozi za ushonaji,ufundi Uashi,Upishi,Umakanika,Uchomeleaji na umeme wa magari na majumbani.

Baada ya hapo mwenge ulielekea shule ya Sekondari ya Seminari iliyopo kitongoji cha Sanze na kushuhudia namna ya uwekezaji katika elimu na baadaye msafara wa mwenge ukaelekea eneo la Yombo Lukinga ambapo mwenge ulizindua mradi wa madarasa, kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri na kutoa gawio la michango ya mwenge kwenye shughuli za maendeleo.

Aidha mwenge ulifanikiwa kutembelea kijiji cha Titu na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa daraja unaogharimu kiasi cha shilingi milioni 421,558,894/= ambalo ni kiunganishi kati ya Kijiji cha Titu na Kijiji cha Kihare na mwenge wa Uhuru ukatembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha Chole kinachogharimu kiasi cha shilingi milioni mia nne (400) ambapo mwenge ulipokea taarifa za shughuli za mapambano dhidi ya Malaria,ukimwi na madawa ya kulevya.

Vilvile mwenge wa Uhuru uliekea shule ya Sekondari ya Maneromango inayopokea wanafunzi wa kidato cha tano na sita na kutembelea klabu ya kupambana na rushwa na kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani na kisha ukaelekea ofisi ya Kata ya Maneromango na kuzindua ofisi ya kata hiyo iliyogharimu kiasi cha shilingi 26,000,000/= ambapo kati ya hizo shilingi milioni 12,460,000/= ni fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri na shilingi 8,696,000/= fedha za ruzuku ya maendeleo kutoka Serikali kuu na kiasi cha shilingi 4,844,000/= ni nguvu za wananchi wa Maneromango.

Baada ya kukamilisha ziara hiyo mwenge wa uhuru ulielekea eneo la mkesha katika Shule ya Msingi Mitengwe Kata ya Mzenga iliyopo Tarafa ya Mzenga ambapo ilikagua mabanda ya wajasiriamali,upimaji wa virus vya ukimwi (VVU) na uthibiti wa madawa ya kulevya na pia kusoma na kusikilia risala ya  utii kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .

Katika ziara yote ya mwenge wa uhuru mwaka 2018 wananchi walijitokea maeneo yote na kushudia miradi iliyotekelezwa kwa kufuta miongozo,weledi na viwango vya hali ya juu na kuacha kumbukumbu nzuri ya kufanikisha shughuli zote kwa ufanisi.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa