• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

NINACHOKITAKA KWENU WATAALAAMU WA HALMASHAURI SIMAMIENI MIRADI IMALIZIKE KWA WAKATI-DKT JAFO

Posted on: October 24th, 2023

NINACHOKITAKA KWENU WATAALAAMU WA HALMASHAURI SIMAMIENI MIRADI IMALIZIKE KWA WAKATI-DKT JAFO


Kisarawe Pwani


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mb MHE DKT SELEMANI SAIDI JAFO Leo ameambatana na wajumbe wa kamati ya siasa ya Wilaya katika kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo Kisarawe ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025,

Akizungumza 24.10.2023 wakati wa kuweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa shule mpya ya kisasa Kata ya msimbu Kijiji Cha Kitanga MHE DKT SELEMANI SAIDI JAFO alisisema,


"Lengo la ziara Yetu kwa wajumbe wa Kamati ya siasa Wilaya Kisarawe ni kukagua Miradi ya maendeleo kuona inasimamiwa na Kumalizika kwa Wakati Kama ilivyokusudiwa na kupatiwa Fedha na Rais DKT SAMIA Kisarawe inamaliza kwa kiwango na hatua iliyokusudiwa" alisisitiza Mhe Dkt Jafo




"Nashukuru Sana Serikali Yetu ya awamu ya sita imekua  inaendelea kuipatia Kisarawe Miradi mingi mipya katika Kama Miradi ya Elimu,Afya, Maji, Miundombinu ya Barabara na Umeme basi watalamu kasimamieni na kuhakikisha imalizika kwa Wakati na kuweza kuwahudumia wananchi kwa Wakati alisisitiza Mhe Dkt Jafo


Aidha Mkuu wa Wilaya Kisarawe Mhe FATMA NYANGASA alisisitiza Suala la Jamii hasa Kisarawe kuendelea kuchukua Kwa umakini tahadhari ya kujikinga na Madhara hasa Kauli ya mamlaka ya Hali ya hewa juu ya Suala la uwepo wa Mvua Kubwa ya ELL-NINO na kuchukua hatua kwa kuhama mabondeni,

"Ndugu zangu haya maendeleo Yetu yote yanayoletwa hapa Kisarawe muhimu tuwe watu wenye kujali na kufuatilia taarifa za Serikali juu ya kuchukua tahadhari ya majanga na mapema" alisisitiza MHE NYANGASA


Aidha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya Kisarawe KOMRED KHALIFAN SIKA alisisitiza kwa Mafundi,watalamu wasimamie Miradi imalizike kwa Wakati maana Kila kitu kipo basi wao watimize wajibu wao wa kuwahudumia wananchi,

"Hii Miradi Kama sisi Serikali hatudaiwi chochote na nyie ikiwemo Labda Fedha nk Wakati mwengine Fedha zote zimetoka kwa Nini nyie mnakua wazito katika kusimamia haya maendeleo Sasa Kwa kuwa sisi tupo hapa kusimamia ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM tunawaagiza wale wote wenye Miradi basi ikamalizike kwa Wakati" alisisitiza KOMRED KHALIFAN SIKA


Nae Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe NDG BEATRICE DOMINIC alishukuru Kamati ya siasa ya Wilaya Kisarawe kwa kukagua Miradi na kuahidi kutekeleza Kwa Wakati maagizo yote yaliotolewa na wajumbe Wakati wa  Ukaguzi wa Miradi Kitanga,Kazimzubwi, Kisarawe na Bomani,

Jumla ya Miradi mitano  imetembelewa na kukaguliwa na wajumbe wa Kamati ya siasa ya Wilaya Kisarawe Katika Kitongoji Cha Kitanga Mradi wa Shule mpya ya Sekondari, Mradi wa Bweni shule ya Sekondari Kisarawe Kitongoji Cha Kazimzubwi, Mradi wa ukarabati wa Soko la  Kisarawe, Pamoja na Jengo Jipya la kisasa la utawala katika Eneo la Bomani


Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa