OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE
KISARAWE
Naibu katibu Mkuu wa Ofisi ya makamu wa Pili wa Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Ndg Salhina Mwita Ameir ameongoza ujumbe wa Ofisi yake Kufanya ziara ya kikazi Halmashauri ya Wilaya Kisarawe 30/04/2025.
Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Tarifa ya ziara hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Ndg Deogratius Lukomanya alisema kuwa ziara hiyo inayoongwa na Naibu katibu Mkuu Ni ya siku moja na Ni ya kikazi katika nyanja ya Miradi ya Ofisi ya Mbunge.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa