Mafunzo ya Mfumo wa GOTHOMIS CENTRALIZE katika hospital ya Wilaya Kisarawe yalioandaliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii kwa kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa OR-TAMISEMI pamoja na Taasisi ya TANZANIA DIABETES ASSOCIATION.
*Matukio mbalimbali katika Picha na Video Wakati wa Muendelezo wa Mafunzo kuhusu GOTHOMIS CENTRALIZE yanatotolewa na Wizara ya Afya ustawi wa jamii pamoja na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa OR-TAMISEMI pamoja na Taasisi ya TANZANIA DIABETES ASSOCIATION Mafunzo hayo yametolewa Chini ya usimamizi wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Pwani kupitia mwakilishi wake DKT LIBAMBA SOBO Leo Kisarawe 02.12.2023.*
|
|
|
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa