Mafunzo ya GOTHOMIS CENTRALIZE katika hospital ya Wilaya Kisarawe leo 23.11.2023 ambayo ni siku ya Tatu ya Mafunzo yanaongozwa na mkufunzi kutoka Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa OR-TAMISEMI Chini ya Mkufunzi Eng BARIKI J MTERY Leo Kisarawe Pwani.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa