Ukarabati wa Chumba cha Upasuaji na Wodi ya Watoto
Posted on: April 4th, 2017
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kisarawe Mhe. Hamisi Abdallah akitoa neno la shukrani kwa wafadhili 'BAPS CHARITIES" kwa ajili ya ukarabati wa chumba cha upasuaji na Wodi ya watoto katika Hospitali ya Kisarawe.Bonyeza hapa kusikiliza hotuba yake.