• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

WALIMU WASHEHEREKEA MAFANIKIO

Posted on: March 12th, 2018

WALIMU WASHEHEREKEA  MAFANIKIO

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE WAMEFANYA SHEREHE KUBWA YA KUJIPONGEZA KWA AJILI YA MAFANIKIO WALIYOYAPATA  MWAKA ULIOPITA.

SHEREHE HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MINAKI ILIHUDHURIWA NA WAZIRI WA OFISI YA RAIS TAWALALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MHESHIMIWA SELEMANI JAFO  AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA KISARAWE PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE WA HALMASHAURI AKIWEMO MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA MHE. HAMISI DIKUPATILE, BAADHI YA WAHESHIMIWA MADIWANI NA MAAFISA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE

SHAMRASHAMRA HIZO ZIMEAMBATANA NA ZOEZI LA KUWAAGA RASMI WALIMU WASTAAFU AMBAO WAMEMALIZA MUDA WAO WA UTUMISHI ULIOTUKUKA KATIKA KUIHUDUMIA JAMII YA WANAKISARAWE. WALIMU WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE WAMEWAZAWADIA ZAWADI MBALIMBALI WATUMISHI WENZAO WASTAAFU KWA KUWAPATIA ZAWADI ZA SAMANI,VYOMBO NA NYINGINEZO KWA KILA MSTAAFU.

AIDHA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI NA ZILIZOONYESHA JITIHADA ZIMEPEWA ZAWADI NA MGENI RASMI AMBAPO WALIMU VIONGOZI WA SHULE HIZO WALIPOKEA ZAWADI HIZO KWA NIABA YA WATUMISHI WENGINE WA SHULE HIZO.

AKIZUNGUMZA WAKATI WA SHEREHE MGENI RASMI AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA KISARAWE MHESHIMIWA SELEMANI JAFO AMEWAPONGEZA WALIMU KWA JUHUDI WANAZOFANYA KUBORESHA ELIMU NA KUAHIDI KUWA NAO SAMBAMBA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOWAKABILI.

AIDHA MBUNGE HUYO AMEELEZA JUHUDI MBALIMBALI ZINAZOENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA KUZITENGEA FEDHA BAADHI YA SHULE KUFANYA UKARABATI MKUBWA.BAADHI YA SHULE ZILIZOTENGEWA FEDHA NA KUKARABATIWA NI PAMOJA NA SHULE YA MSINGI BOGA,MITENGWE,KITONGA MANGO,KWALA NA SHULE YA SEKONDARI YA MANEROMANGO . PIA FEDHA NYINGINE ZIMETENGWA KWA SHULE NYINGINEZI IKIWEMO SHULE YA SEKONDARI KIMANI AMBAYO INATARAJIWA KUANZA KUWAPOKEA WANAFUNZI WATAKAOJIUNGA KIDATO CHA TANO IFIKAPO MWEZI JULAI 2018

SHEREHE HIZO ZIMEFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 24/02/2018 NA KUHUDHURIWA NA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI ZILIZOMO WILAYA  YA KISARAWE PAMOJA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA HALMASHURI YA WILAYA YA KISARAWE. 

 

 

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa