• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Watu Wenye Ulemavu Kukatiwa Bima YA afya Kisarawe

Posted on: May 21st, 2018

Watu Wenye Ulemavu Kukatiwa Bima Ya Afya Kisarawe

Katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015, sheria Na. 9 ya mwaka 2010 ya watu wenye ulemavu na miongozoz mbalimbali ya kuhakikisha watu wenye ulemavu wanapatiwa haki katika Nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu,Afya,Utamadunu,Sanaa na Michezo  watu wenye ulemavu Wilaya ya Kisarawe wanatarajia kukatiwa bima ya afya ili kuwapunguzia mzigo mkubwa wa gharama za matibabu.

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi  OR-TAMISEMI Mheshimiwa SELEMANI Jafo ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe wakati akikabidhi vifaa saidizi  kwa watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika kwenye viwanja vya stendi kuu ya Wilaya ya Kisarawe.

Mhe. Jafo amesema jamii inapaswa kuwasaidia na kuwawezesha watu wenye ulemavu ili waweze kukabiliana na changamoto zinazowakabili hasa kwa kuzingatia hali waliyonayo ambayo inahuzunisha kuona wanapata tabu katika kuendesha maisha yao kulingana na hali zao.

‘’ Wote tumeshuhudia namna ya wenzetu hawa wanavyopata tabu kukabiliana na changamoto hizi,Mkurugenzi nakuagiza walemavu wote wa Wilaya ya kisarawe ambao idadi yao ni 1608 wakatiwe bima ya afya ambayo itawawezesha kupata huduma ya afya katika Wilaya yote ya kisarawe, na zoezi hili liwe limekamilika kufikia mwishoni mwa mwezi wa sita  ‘’ alisema Mhe. Jafo huku akionyesha kuhudhunishwa na hali ya walemavu hao wakati wanashuka kwenye magari wakitokea sehemu mbalimbali za wilaya.

Wilaya ya kisarawe ina jumla ya walemavu albino 59,wenye ulemavu wa viungo 605,viziwi 347,wenye ulemavu wa akili 96,wenye ulemavu mchanganyiko 183 na wasioona 205. 

Katika tukio hilo ambalo pia lilishuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo,Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Happiness Seneda ,Mbunge wa viti maalum Mkoa wa pwani Mhe. Zainab Vulu, Mwenyekiti wa Halmashauri ya  Mhe. Hamisi Dikupatile , Madiwani na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali 

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa