Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe imefanya Msako wa kuwaondoa wavamizi katika msitu wa Hifadhi wa kazimzumbwi. Zoezi hili limeongozwa na Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mhe. Happyness W Seneda pamoja na kamati nzima ya ulinzi na usalama ya Wilaya.Zoezi la kuwaondoa wavamizi wa msitu wa hifadhi ni endelelevu. Hivyo wananchi wasivamie sehemu yoyote ile ya msitu. Zaidi ya wavamizi 30 waliondolewa.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa