Tarehe 01/10/2017 yalifanyika maadhimisho ya siku ya wazee Duniani kwa Wilaya ya Kisarawe maadhimisho haya yaliadhimishwa Kata ya Kiluvya kauli mbiu katika maadhimisho haya ilikuwa KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA:TUTHAMINI MCHANGO,UZOEFU NA USHIRIKI WA WAZEE KWA MAENDELEO YA TAIFA katika maadhimisho haya mgeni rasmi alikuwa Ndg Mtella Mwampamba katibu Tawala Mkoa wa Pwani.
Kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa.pdf
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa