WAZIRI JAFO A FUNGUA SHULE MPYA ZAIDI ZA KATA YA BOGA, MZENGA NA MSANGA
KISARAWE
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe DKT Selemani Saidi Jafo (MB) amefungua shule Mpya katika kata ya Boga, Msanga na Mzenga ikiwa ni lengo kuengeza wigo wa Elimu sekondari Kisarawe 07/06/2025
![]() |
![]() |
Akizungumza wakati wa kufungua shule hizo Mhe jafo alisema ni Fahari kwa Kisarawe Kuona kata zote 17 Zina sekondari ya kata na nyengine zikiwa na sekondari ya Pili,
![]() |
![]() |
"Awamu hii ya sita ya Rais Dkt Samia imefanya makubwa Kisarawe katika elimu Afya na miundombinu mbalimbali hivyo hatuna budi kumshukuru na kumtakia Kher nyingi RAIS SAMIA" alisisitiza Dkt Jafo
![]() |
![]() |
Shule hizo ni mpya na nyengine zikiwa na mabara ,na madarasa mazuri mno alisisitiza Kaimu afisa Elimu sekondari MWL HASSAN MATHIS hivyo nawaomba mvitunze na kuvilinda
![]() |
![]() |
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa