• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Ziara ya RAS Wilayani Kisarawe

Posted on: September 10th, 2018

Mheshimiwa Bi. Theresia Louis Mmbando ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani atembelea Wilaya ya Kisarawe. Ziara hii ni kati ya ziara zake za kawaida katika kuzitembelea Wilaya na Halmashauri zote za Mkoa wa Pwani. Lengo kuu la kutembelea ni kujitambulisha na kusikiliza kero mbali mbali za watumishi wa kila Halmashauri. Akiongea na watumishi wa Kisarawe Bi. Theresia Louis Mmbando aliwahimiza watumishi kufanyakazi kwa juhudi.Katibu Katibu Tawala aliwakumbusha watumishi kuwa wamepata bahati ya kuwepo katika halmashauri hii wala zoezi la vyeti feki halijawakumba hivyo wajitume na wawe na moyo wa kupenda kazi waliyonayo. Pia Bi. Theresia Louis Mmbando aliwashauri watumishi wanaotaka kujiendeleza wajiendeleze katika maeneo ambayo yana upungufu akitolea mfano watumishi wakasomee masoma ya uhandisi.

Bi. Theresia Louis Mmbando alisikiliza kero mbali mbali zikiwemo (1) Upungufu wa vitendea kazi katika Idara ya Ujenzi (2) Kupandishwa madaraja kwa watumishi na Kuabadilishwa kwa Muundo. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ndugu Musa Gama alitoa majibu ya upungufu wa vitendea kazi alisema mpango upo  kwa ajili ya manunuzi ya Gari jipya ambalo litatumika kwenye usimamizi wa Mapato na shughuli nyingine za Ujenzi.Pia kuhusu kupanda kwa madaraja ya watumishi Afisa Utumishi Ndugu Patrick Saduka kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji(W) alijibu kuwa mara ya mwisho madaraja ya watumishi yalipandishwa mwaka 2015.Ndugu Saduka alisema kwa sasa kupandishwa kwa madaraja yamesitishwa kwa sababu ya uhakiki unaoendelea. Pia Saduka alisema swala la recategorization kwa watumishi lipo kwenye mchakato wanasubilia kibali toka kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Mwisho Bi. Theresia Louis Mmbando aliwashukuru watumishi kwa kutoa muda wao wa kumsikiliza na kuwasisitiza wawe waadilifu katika Utumishi wa Umma.

Kwa habari picha bonyeza hapa

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa