Banda la Maonyesho ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe katika wiki ya viwanda Mkoa wa Pwani lilotumika kwa ajili ya kuonyesha na kutangaza fursa za uwekezaji na uwezeshwaji wa bidhaa za wajasiria mali na viwanda vya Kisarawe.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng Evarist Ndikilo akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonyesho la kisarawe
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI (Mb) Mhe Selemani S JAFO alipotembelea Banda la kisarawe na kuongea na wajumbe wa Dawati la Uwekezaji
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe Mhe Hamisi A.Dikupatile akifafanua hoja za wandishi wa habari alipokua akitangaza fursa na vivutio vya uwekezaji Kisarawe katika wiki ya Maonyesho ya Viwanda mkoa wa pwani
MKURUNGEZI MTENDAJI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Ndg Mussa L Gama Akizungumza na wana HABARI waliofika katika banda la kisarawe kutaka kujua fursa za uwezeshaji na maeneo tengefu ya Uwekezaji Kisarawe
Naibu Spika wa Dr Tulia Akson akipata ufafanuzi wa maonyesho ya wiki ya viwanda mkoa wa pwani kutoka kwa mwenyeji wake Eng Evarist Ndikilo
Waziri Mkuu Mhe KASSIM MAJALIWA MAJALIWA mara baada ya kufunga maonyesho ya wiki ya Viwanda Mkoa wa PWANI
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa