JENGO LA DARASA LINALOTEGEMEWA KUFANYIWA UKARABATI KATIKA KIJIJI CHA MLEGELE KATA YA KIBUTA
MKURUGENZI MTENDAJI WA KISARAWE NDG MUSSA GAMA AKIKAGUA MATOFALI KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA VINNE VYA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHOLE UTAKAO GARIMU MILIONI AROBAINI
JENGO LA MAABARA YA KISASA YA MSIMBU HOMBOZA LINALOJENGWA KWA KWA MSAADA WA TAMISEMI
JENGO LA DARASA LA SHULE YA MSINGI MLEGELE KATA YA KIBUTA AMBALO LINATAKIWA KUVUNJWA NA KUJENGWA UPYA
MKUEUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA KISARAWE NDUGU MUSSA GAMA AKITOA MAELEZO JUU YA ITAKAVYO TUMIKA MILIONI AROBAIN KWA KAMATI YA SHULE YA MSINGI MLEGELE NA KAMATI YA MAENDELEO YA KATA KIBUTA
DARASA LA SHULE YA MSINGI MLEGELE KATA YA KIBUTA AMBALO MKURUGENZI MTENDAJI AMETOA PESA KWA AJILI YA KUJENGWA UPYA DARASA LA KISASA
MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI MLEGELE AKITOA UFAFANUZI WA JINSI DARASA HILO LINAVYOTUMIKA NA KUWAPATIA ADHAA KWA WATOTO WA MLEGELE
JENGO JIPYA LA MGANGA MKUU WA KITUO CHA AFYA MSIMBU HOMBOZA LINALOJENGWA KWA MSAADA WA MILIONI MIA NNE KUTOKA TAMISEMI
MKURUGENZI MTENDAJI WILWYW KIASARAWE NDUGU MUSSA GAMA AKIKAGUA TOFALI ZA ZITAKAZO TUMIKA KATIKA UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA VITAKAVYO GARIMU JUMLA YA SHILINGI MILIONI AROBAINI
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa